Saturday, March 19, 2016

WAFANYAKAZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF WASH


 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anthony Mkinga, akiruka kujaribu kumkamata Kuku, wakati wa mchezo huo wa kufukuza kuku katika Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za Magunia wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Katika mbio hizo Magreth John (mbele) aliibuka kidedea.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za Magunia wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Katika mbio hizo Merey Sammy  (kushoto) alishika nafasi ya pili na Mery Malilo (kulia) aliibuka mshindi wa tatu,huku nafasi ya kwanza ikichukuliwa na Magreth John (hayupo pichani)
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,wakishiriki mchezo wa kuvuta Kamba wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam,leo Machi 19,2016. Katika mchezo huo Wanawake waliibuka kidedea kwa kuwaburuza wanaume.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,wakishiriki mchezo wa kuvuta Kamba wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam,leo Machi 19,2016. Katika mchezo huo Wanawake waliibuka kidedea kwa kuwaburuza wanaume.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki mazoezi ya pamoja wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki mazoezi ya pamoja wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo
 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akishiriki mchezo wa kukimbiza kuku, wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii,jijini Dar es Salaam,leo.
 Mbio za Kizunguzungu....
 Tumainieli Maleko, akimalizia mbio za magunia na kushika nafasi ya  kwanza wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,lililofanyika leo Machi 19,2016 kwenye Uwanja wa Ustawi wa Jamii,Jijini Dar es Salaam.
 Kamata kuku wa supu......
 Mbio za kizunguzungu.....
 Mbio za Kizunguzungu......
 Bw.Omar akimdaka kuku....
 Mazoezi yakiendelea....
 Mazoezi yakiendelea....
 Mazoezi yakiendelea....
 Mkurugenzi akizungumza...
 Raha ya ushindi bao......
 Washindi wa mbio za Kizunguzungu wakishangilia na zawafdi zao za kuku
 Wafanyakazi wa PPF wakishangilia na kikombe.....
 Mazoezi yakiendelea.....
 Mbio za mita 200kwa wanawake.....
 Mbio za Mita 200 kwa wanawake.....
 Mbio za mita 200 kwa wanaume.....
 Wafanyakazi wakimalizia mbio za mita 200.......
 Mazoezi yakiendelea....
 Mazoezi yakiendelea....
 Mazoezi yakiendelea....
 Vidume vikijaribu kukomaa kuwavuta wanadada bila mafanikio....
 Washindi wa mchezo wa Kuvuta Kamba wakishangilia baada ya kuwaburuza kaka zao...
 Warembo wa PPF wakifukuza kuku....
 Mchezo wa kufukuza kuku ukiendelea...
 Wafanyakazi wa PPF wakipozi na Kikombe cha ushindi....
 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Kikombe cha ushindi, Mkurugenzi wa Majanga wa PPF,  Uphoo Swai,aliyeibuka kidedea katika mazoezi hayo
 Mkurugenzi wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akizungumza wakati wa Bonanza hilo.
 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza waMbio za Magunia kwa wanawake, Magreth John, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.
 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za Magunia kwa Wanaume, Tumainieli Maleko, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.
 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za mita 200 kwa Wanawake, Susan Ringo, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.
 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Elias Joseph,  aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.
Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa pili wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Borrice Bwire, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu