Saturday, April 30, 2016

  TUZO ZA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI EJAT

 Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akiwa na Katibu wa Baraza la Habari Tanzania Kajubi Mukajanga na Mkurugenzi wa TMF Ernest Sungura
 Majaji wa EJAT, Jesse Kwayu na Mzee Ndimara Tegambwage wakibadilishana mawazo
 Rais wa MCT, Jaji Thomas Mihayo
 Jopo la Majaji likiwa limesimama kwa Pamoja
 Majaji wa EJAT , Nathan Mpangala  na Mzee Juma Dihule
 Mgeni rasmi wa Shughuli hiyo kamishna wa tume ya Haki za BINADAMU
 Nora Damiani akikabidhiw tuzo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa TCRA, Innicent Mungi
 Mzee Ndimara Tegambwage akizungumza jambo na Hadhira
 Mkurugenzi wa TBC Taifa, Susani Mungi akikabidhi Tuzo kwa mshindi wa habari za Uchunguzi Televisheni, Frank Bahati wa TBC
 Mkurugenzi wa TBC Taifa, Susani Mungi akikabidhi cheti kwa msindi wa pili Habri za Uchunguzi Televisheni, Khamisi Suleimani


 sam mahela akipokea tuzo yake
 Mpiga picha bora wa magazeti Robert Okanda akipokea Tuzo
 Robert Okanda kionyesha tuzo yake juu
 Said Michael (Wakudata) akiwa na Abdul Kingo
  Said Michael (Wakudata) akipokea tuzo ya mchora katuni bora



 Mshindi wa jumala Frank Bahati akipokea cheki yake



Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu