2


SI LA KULIKOSA

Monday, April 11, 2016

BREKING NEWS SIMBA YACHAPWA NA COAST UNION BAO 2-1 LEO KWENYE UWANJA WA TAIFA

Klabu ya simba sport club imetolewa katika mashindano ya kombe la FA baada yakufungwa bao 2-1 na timu ya Coast Union kutoka Tanga katika mchezo uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa  kutokana matokeo hayo Simba imetolewa nje
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu