2


SI LA KULIKOSA

Sunday, April 24, 2016

BREKING NEWZZZ YANGA NA AZAM ZASHINDA

Mizhezo ya nusu fainal ya kuwania kombe la shirikisho  iliyochezwa Katika uwanja wa kambarage kati ya timu ya Azam na Mwadui imemalizika kwa timu ya Azam kupata mabao 7 -5 bada ya mchezo huo kufungana mabao 2-2 na kupigiana mipira ya penalt na timu ya Azam kufanikiwa kupata prnati zote tano na mwadui kupata mikwaju 3 katika uwanja wa mkwakwani kati ya Yanga na Coast  mpira umevunjika katika dakika za nyongeza 30 baada ya kumalizika kwa dakika 90 mojamoja zikiwa zimebaki dakika 15 za mwiso refa wa mchezo akapasuliwa mawe kichwani vurugu zikaanza wakati huo yanga walikuwa wanaongoza kwa mabao 2-1 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu