2


SI LA KULIKOSA

Monday, April 11, 2016


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ameliapisha baraza lake la mawaziri Ikulu mjini Zanzibar Aprili 10, 2016 ambapo miongoni mwa waliokula kiapo ni pamoja na Hamad Rashid, ambaye alishika nafasiya pilikwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Zanzibar katika uchaguzi wa marudio. Wakati hayo yakijiri hasimu mkuu wa CCM huko Zanzibar, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana na waandishi wa habarina kusisitiza kuwa hatambui ushindi wa Dkt. Shein na kwamba anaendelea na harakatizake za kutafuta "haki". Pichani Dkt. Shein akimuapisha Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe Hamad Rashid Mohamed. (Picha na Ikulu ya Zanzibar)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum na Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Mhe Siad Soud Said hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Balozi Amina Salum Ali Ikulu Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Mohammed Aboud Mohammed.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe Haji Omar Kheri.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe Issa Haji Ussi Gavu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe Balozi Ali Abeid A.Karume.
Hamad Rashid
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Dk Khalid Salum Mohammed.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mhe Moudline Castico.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Rashid Ali Juma
 Mhe Riziki Pembe Juma akielekea katika Jukwaa Kuu kwa ajili ya kula kiapo cha Utii wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Mhe Salama Aboud Talib


Mhe Juma Ali Khatib akielekea katika Jukwaa maalum kwa ajili ya kula kiapo cha Utii kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum na Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Mhe Juma Ali Khatib, hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa  Afya Zanzibar Mhe Harusi Said Suleiman.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Khamis Juma Maalim.
 Mhe Juma Makungu Juma akielekea katika Jukwaa Maalum lililoandaliwa kwa ajili ya hafla ya kiapo cha Mawaziri Ikulu Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe Lulu Msham Abdalla.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa  Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Mhe Mohamed Ahmad Salum.

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu