Mbunge
wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia akizungumza jambo na Mkurugenzi wa
idara ya Maafa nchini Brigedia Jenerali Mbazi Msuya wakati wakitembelea
kijiji cha Mandaka Mnono kujionea athari ya mafuriko,katikati ni Mbunge
wa viti Maalum (Chadema) mkoa wa Kilimanjaro Lucy Owenya.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maafa nchini Brigedia Jenerali ,Mbazi Msuya akimweleza
jambo Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila (wa
tatu kutoka kushoto) wengine ni Mbunge wa jimbo la Vunjo James
Mbatia,Diwani wa kata ya Mabogini Emanuel Mzava .
Sehemu
ya barabara inayounganisha vijiji vya Miwaleni na Mandaka Mnono ikiwa
imeharibika vibaya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na
kusababisha mafuriko.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maafa nchini iliyo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu,Mbazi
Msuya akizungumza na wananchi katika eneo hilo lililoharibika vibaya.
Mbunge wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia akitoa maelekezo mara baada ya kutembelea baadhi ya maeneo yaliyoathirika kwa mafuriko.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
KAWAIDA.
Mbunge wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia akizungumza jambo na Mkurugenzi
wa idara ya Maafa nchini Brigedia Jenerali Mbazi Msuya wakati
wakitembelea kijiji cha Mandaka Mnono kujionea athari ya
mafuriko,katikati ni Mbunge wa viti Maalum (Chadema) mkoa wa
Kilimanjaro Lucy Owenya.
Mkurugenzi wa Idara ya Maafa nchini Brigedia Jenerali ,Mbazi Msuya
akimweleza jambo Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael
Kilawila (wa tatu kutoka kushoto) wengine ni Mbunge wa jimbo la Vunjo
James Mbatia,Diwani wa kata ya Mabogini Emanuel Mzava .
Baadhi ya wananchi katika kjiji cha Mandaka mnono ambao mashamba yao
yameathirika kwa mafuriko.
Sehemu ya barabara inayounganisha vijiji vya Miwaleni na Mandaka Mnono
ikiwa imeharibika vibaya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na
kusababisha mafuriko.
Usafiri wa pikipiki pekee ndio unatumika kuvusha watu kutoka upande
mmoja kwenda upande mwingine.
Hivi ndivyo hali inavyoonekana.
Mkurugenzi wa Idara ya Maafa nchini iliyo chini ya ofisi ya Waziri
Mkuu,Mbazi Msuya akizungumza na wananchi katika eneo hilo lililoharibika
vibaya.
Madereva wa bodaboda wakijaribu kupita katika eneo hilo kwa umakini
mkubwa.
.
Mbunge wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia akitoa maelekezo mara baada ya
kutembelea baadhi ya maeneo yaliyoathirika kwa mafuriko.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment