Sunday, May 1, 2016

BREKING NEWZZZ SIMBA NA AZAM WAONYESHANA UBABE BILABILA

Timu ya Simba imetoka sare bila kufungana na timu ya Azam bila bao katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom  mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa leo mchezo huo uliokuwa mgumu kutokana kila timu kukamiana  pamoja na rafu za hapa na pale kwa pande zote mpaka kipenga cha mwisho Simab ziro  na Azam ziro




Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu