2


SI LA KULIKOSA

Saturday, May 7, 2016

BREKING NEWZZZZZZZ YANGA YAIFUNGA ANGOLA BAO 2-O LEO

Yanga imeshinda bao 2-0 dhidi ya timu ya Sagrada ya angola  katika mcheze wa shirikisho magoli yamefungwa na Saimon Msuva  na Matheo Anthony alioengia kipindi cha pili kwa mkwaju wa mbali  mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa leo kwa hiyo Yanga itachezo mchezo wa marudiano huko ngola tarehe18 mwezi huu
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu