2


SI LA KULIKOSA

Friday, May 6, 2016

BREKING NEWZZZZZZZZZZ MTITI WA BODABODA KAMA SINEMA

 Abiri wa 2 mtu na mpenzi wake waanzisha varaghati dereva wa kijana akiwa na mpambano na mpezi wake dereva hajui jinsi ghafla kijana akaivamia hiyo bodaboda na kumteremsha huyo mpenzi na na kumnyanganya begi alilochukua  hii ilitokea eneo la Mbagara rangi tatu 
 Hii  ni sinema ilivyotokea wakigombea begi
 msela amefanikiwa kumnyaganya
 Dada  hajakubali  huku akitaka begi lake
 kijana akidai u hulipati begi hili
 msela  alisikika akisema usinifate nitakupasua
 hupati  naondoka
 dada anasema nakuomba begi langu
 usinijue
Dada amnadai unanifanyia kitendo hichi   MZUKA WA FUNGO BLOG ILIISHIA HAPO KILICHOENDELEA ==========


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu