2

SI LA KULIKOSA

Sunday, May 1, 2016

 Msanii mahiri wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul  a.k.a Diamond Platinums   akitumbuza vilivyo  wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania "wakila sahani moja" na nyota wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava)Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platinums. 

Diamond na wacheza shoo wake wakilishambulia jukwaa
 Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania ,wakicheza nyimbo mbalimbali zilizokuwa zikiimbwa na   mwanamuziki mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul “Diamaond Platinums”(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi mbalimbali wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao( wa tatu toka kushoto) pamoja na wafanyakazi wenzake wakifurahia moja ya nyimbo za mwanamuziki Nasib Abdul”Diamaond Platinum’s” alipokuwa akitumbuiza  wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu