2


SI LA KULIKOSA

Friday, May 6, 2016

KIBAKA AKIWA CHINI YA ULINZI


Kijana ambaye jina lake halikufahamika maramoja akiwa chini ya ulinzi wa Askari waliopo eneo la jengo la Mifugo kumdhibiti kijana huyo mara alipotuhumiwa kuiba Compyuta mpakato na simu ya mkononi na mmoja wa wafanyakazi  jina (jina limehifadhiwa) kushitukia mchezo mchafu uliokua ukifanywa na kijana huyo,  katika  Ofisi ya Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Mifugo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Baadhi ya wafanyakazi wakimuangali jina huyo akiwa ameokolewa na Polisi baada ya kufika katika eneo la tukio
Vitu vilivyokua vimedaiwa kuibiwa na kina huyoShare this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu