Meneja Mauzo wa Kampuni ya Isere Sports inayouza vifaa vya michezo, Ismail Bura (kulia) akionesha Kocha Mkuu wa mchezo wa Roll, Aurher Haule sampuli ya sare za Taifa zinazofaa kuvaliwa na wachezaji wanapokuwa nje ya nchi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Nadia House of Beuty ,Nadia Azmat akimkabidhi jezi kocha Mkuuwa timu ya Taifaya Tanzania ya mchezo waRoll, Aurther Haule zitakazotumika kuchezea mchezo wa Roll kwa nchi zaAfrika utakakaofanyika Kenya.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Nadia House of Beuty , Nadia Azmat akionesha viatu vitakavyotumika kuchezea mchezo wa Roll kwa nchi zaAfrika utakakaofanyika Kenya.
0 comments:
Post a Comment