2


SI LA KULIKOSA

Wednesday, May 18, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISALIMIANA NA WAKUU MOROGORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati aliposimama kwa muda mfupi mjini hapo akiwa njiani kuelekea Dodoma akitoka Dar es salaam May 18, 2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa huo, Dk. Stephene Kebwe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu