2


SI LA KULIKOSA

Tuesday, May 3, 2016

YANGA YAENDELEZA UBABE KWA BAO 3-1

klabu ya Yanga leo imeifunga timu ya stand ya united ya shinyanga  baada ya kuifunga bao 3-1  donald Ngoma ameifungia timu yake mabao 2 katika kipindi cha kwanza  hamisi Tambwe  amefunga bao la tatu katika kipindi cha pili  na mchezaji wa stand united Elias Maguli akaifungia bao la machozi kwa njia ya penalt
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu