Monday, June 27, 2016

MAJALIWA AHITIMISHA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AN TUKU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016 kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaam . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery bin Ally baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa Juni 26, 2016. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhadi Mussa Salum. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na watoto wadogo kuliko wote walioshiriki katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.Watoto hao ni Abuzar Kholidi wa Tajikistan (Kulia) na Ahmad Abdullah Al-Azhar wa wa Bangladesh. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

3222  Waziri Mkuu, Kassim Maajliwa akiagana na baadhi ya waumini wa Kiislamu walioshiriki katika hitimisho la Mashindano ya Kuhufadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa  wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha mashindano hayo Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu