2


SI LA KULIKOSA

Thursday, June 30, 2016

BREKING NEWZZZZZZZZ

Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki (mashariki)Tundu Lissu  amefikishwa mahakamani kituhumiwa  kwa uchochezi hata hivyo ameachiwa huru kwa dhamana  nipashe  wakati huohuo watu watatu wanaodaiwa kuwa na mabango yenye kukashifu Polisi wamekamatwa  kwenye eneo la mahakama ya kisutu ljijini Dar es salaam leo wakati huo huo waziri mkuu  Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa vibali 80 vya uingizaji Sukari nchini  huku tani 63,000 bidhaa hiyo zikisambazwa  nchi nzima  NIPASHE
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu