Wednesday, June 22, 2016

BUNGENI LEO

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, bungeni mjini Dodoma Juni 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Bernadeta Mushashu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano  na Mazingira   Luhaga  Jaelson  Mpina  kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Juni 20, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengera kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu