2

SI LA KULIKOSA

Thursday, June 2, 2016

Katibu Mkuu Wizara ya Habari azindua matukio ya Siku ya Msanii 2016 Jijini Dar es Salaam

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (wapili kushoto) akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam
 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na wasanii wakati wa uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam
 Mwanamziki mkongwe wa miondoko ya rhumba Stara Thomas akizungumza na wasanii wenzake (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam
 Picha mbalilmbali za viongozi wa serikali na wasanii wakati wa hafla ya uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam. 
 Picha na WHUSM

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu