2


SI LA KULIKOSA

Tuesday, June 14, 2016


 Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party, (TLP), Agustino Lyatonga Mrema (Kushoto), akizungumza na waandishi Habari kwnye ukumbi wa idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo Juni 14,2016. Mrema amewatahadharisha wananchi kuwa makini na viongozi wa upinzani (yeye hayumo), kuepuka kupotoshwa nahivyo kuhatarisha amani na usalama wa nchi.
 Mrema akiwa na Mwenyekiti wa akina mama wa TLP, Esther Mwombela
Waandishi wakiwa kazini
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu