2


SI LA KULIKOSA

Thursday, June 16, 2016

. Naibu Waziri wa Habari Utamaduni sanaa na Michezo

Ndugu mwahariri/mwandishi

unaombwa kuhudhuria upokeaji wa msaada wa mageti kutoka kampuni ya ving'amuzi ya TING kwa ajili ya uwanja wa taifa utakaofanyika katika uwanja wa taifa Jjijini Dar es salaam kesho tarehe 17/06/2016 saa 7 kamili mchana na atakayepokea msaada huo ni Naibu waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura.

natumai mtaudhuria ili kuujulisha umma.

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini(GCU)

  Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu