Tuesday, June 21, 2016

 
 Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Deodatus Kinawiro akizungumza jambo wakati wa harambee ya uchangiaji wa madawati kwa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano John Pombe Magufuli kwaniaba ya Wilaya yake Karagwe  ambapo harambee hiyo ilifanyika Jijini,  Dar es Salaam  kulia ni Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya hiyo, Willace Mashanda na kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa akizungumza jambo wakati wa harambeee ya uchangiaji wa madawati kwa niaba ya shule zilizopo katika Wilaya yake ya Karagwe,
 Mc, ambae ni Mhasibu wa Shirika la Bima la Taifa Mkoa wa Iringa, Symbert Kanyabuhora akizungumza jambo wakati alipokua akisherehesha hafla hiyo ya harambee ya uchangiaji wa madawati iliyofanyika Jijini, Dar es Salaam
 Aliekuwa  Mbuge wa Jimbo la Karagwe na Wakili wa kujitegemea, Gosbert Blandes akifurahiya jambo kwa kupiga makofi mara baada ya Mbunge wake wa Jimbo hilo la Karagwe,  Innocent Bashungwa alipokua akizungumza jambo wakati wa harambee hiyo Jijini Dar es Salaam
 Wadau wa ishio Dar es Salaam ambao ni wazaliwa wa Karagwe wakiwa katika harambee hiyo Jijini Dar es Salaam

 Kuanzia kulia ni Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Karagwe,  Eng, Walter Kirita, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Wallace Mashanda, Mkuu wailaya ya Karagwe Deodatus Kinawiro, Mbunge wa Jimbo la Wilaya ya Karagwe Mh. Innocent Bashungwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya harambee hiyo,  Medard Birusya
 Sehemu ya wadau

 Wadau mbalimbali wakisikiliza kwa umakini

 Mshauri wa Fedha na Biashara (Consultant) Dar es Salaam na Mkurugenzi Mstaafu wa Fedha kwenye Kampuni za Kigeni  ambazo zinatoka Afrika ya Kusini, Leopold Bulondo akiwapungia wadau waliofika katika harambee hiyo ya uchangiaji madawati kwa niaba ya Wilaya yao ya Karagwe mara alipo tambulishwa na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe kwenye harambee hiyo  
 Aliekuwa  Mbuge wa Jimbo la Karagwe na Wakili wa kujitegemea, Gosbert Blandes akizungumza jambo kwa kufurahia jambo mara alipokua akizungumza Mbunge wake Innocent Bashungwa

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu