2


SI LA KULIKOSA

Wednesday, July 6, 2016

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI tANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid Nje ya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni mjini Zanzibar Baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika leo Julai 06,2016

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein baada ya kulihutubia Taifa kwenye Baraza la Eid El Fitry lililofanyika leo Julai 06,2016 katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid Nje ya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni mjini Zanzibar Baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika leo Julai 06,2016.

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohamed Nje ya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni mjini Zanzibar Baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika leo Julai 06,2016. (Picha na OMR)
 
 
 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu