2


SI LA KULIKOSA

Wednesday, July 13, 2016

KILIMANJARO COOPERATIVE BANK YAKABIDHI MADAWATI 100 KWA MKUU WA MK


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) Reginald Hosea (Kulia) akipeana mkono na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky  Sadick wakati akikabidhi msaada wa Madawati 100 yaliyotolewa na Benki hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) akizungumza jambo kuhusu msaada huo wa madawati.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akimshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa KCBL ,Reginald Hosea kwa niaba ya benki hiyo kwa msaada wa Madawati.
  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akipena mikono na Meneja Mkuu wa Benki ya KCBL ,Elizabeth Makwabe wakati wa kukabidhi madawati hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa madawati 100 kutoka benki ya KCBL.
Baadhi ya Madawati yaliyotolewa na KCBL .

Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog ,Kanda ya Kaskazini.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu