MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO KATIKA KIJIJI CHA NANGUMBU WILAYANI LUANGWA
Wananchi wa kijiji cha Nangumbu wilayani Luangwa wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimiana na wananchi wa kijiji cha Nangumbu wilayani Luangwa baada ya kuwasili kijijini hapo ili kuzungumza na wananchi wakiwa katika ziara ya mkoa wa Lindi Julai 14, 2016. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuua katika ziara ya mkoa wa Lindi Julai 14,
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nangumbu wilayani Luangwa ambako ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika ziara ya mkoa wa Lindi, Julai 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:
Post a Comment