Thursday, July 7, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Sheikhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum mara baada ya kuwasili
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid Elfitri
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli(katikati) akifurahia jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir(kulia) pamoja na Waziri Mkuu Kassim majaliwa(kushoto) wakati walipokuwa wakisiliza ujumbe wa Kaswida katika baraza la Eid Elfitri.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli(kulia) akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa(kushoto) katika Baraza la Eid Elfitri.
 Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir akimshukuru Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kuhutubia katika Baraza hilo
 Waumini wa dini ya kiislamu wakifatilia kaswida iliyokuwa ikiimbwa katika viwanja hivyo vya Karimjee.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika baraza hilo la Eid Elfitri
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika baraza hilo la Eid Elfitri

 Baadhi ya viongozi mbalimbali wakifatilia hotuba hiyo ya mgeni rasmi.
 Rais John Magufuli akizungumza na mtoto Asma Maulid baada ya kuhubia Baraza la Idi kwenye  ukumbi wa Karimjee 
 Rais John Magufuli akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria  Baraza la Idi alilolihutubia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikhe Aboubakar Zubeir wakati alipowasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid El fitri lililofanyika katika viwanja hivyo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu