Tuesday, July 19, 2016

Tutapambana wasanii mpate haki zenu: Mhe. Nape Nnauye



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi wa Steps Entertainment Bw. Delish Solanki wakati akiwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu 
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na muigizaji mkongwe nchini na mmoja ya waigizaji katika filamu ya Sikitu Amir Athumani ‘King Majuto” wakati akiwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu

Mkurugenzi wa Steps Entertainment Bw. Delish Solanki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akiwasili katika uzinduzi wa  filamu ya Sikitu katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu