2

SI LA KULIKOSA

Wednesday, July 6, 2016

 Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akizungumza wakti alipozindua Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 6, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi na wapili kushoto kwake ni Naibu Waziri  Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama  (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kuzindua bodi hiyo kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 6, 2016. Kushoto kwake ni Naibu  Waziri  Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde  na Wapili kuli kwake ni  Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi . Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodhi ya Wadhamini wa Bodi hiyo, Profesa, Samwel Wangwe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu