2


SI LA KULIKOSA

Sunday, July 10, 2016

WACHEZAJI WA KLABU YA SIMBA LEO WAMEONDOKA KUELEKEA MOROGORO KUWEKA KAMBI Klabu ya Simba leo ilifanya dua kwa wachezaji wake katika klabu hiyo iliyopo Barabara ya Msimbazi dua hiyo kwa wachezaji pamoja na viongozi kwa ajili ya kambi yao itakayo kuwa Morogoro  picha kadhaa wachezaji wakitoka kwenye klabu yao na kuelekea kweny basi huku mashabiki waklabu hiyo walifurika kutaka kuwaona wachezaji wao wakiwepo wapya waliosajilkiwa msimu huu  picha zote na OMAR FUNGO WA MZUKA WA FUNGO
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu