2


SI LA KULIKOSA

Wednesday, July 6, 2016

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF VIWANJA VYA SABASABA LEO

 Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa PPF, Pauline Msanga, akiwahudumia wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha na Mafoto Blog
Afisa Michango wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Glory Maboya (kulia) akimhudumia mmoja kati ya wateja waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
 Maafisa Michango wa Mfuko wa PPF, wakiwahudumia wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
 Afisa Michango wa Mfuko wa PPF, Tula Mwigune, akitoa elimu kwa wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
 Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru (kushoto) akisaini Kitabu cha Wageni wakati alipowasili kutembelea Banda la Mfuko wa PPF, leo. Kulia ni mkewe, Noela Mafuru.
Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru (katikati) Mkurugenzi wa Sheria wa Mfuko wa Pensheni PPF, Vupe Ligate (wa tano kutoka kushoto) Mke wa Msajili, Noela Mafuru (wa tano kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Fedha na Mipango, Benny Mwaipaja, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa PPF nje ya Banda lao kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
 Afisa Huduma kwa Wateja wa PPF, Mwajuma Msina, akiwahudumia wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Afisa Uwekezaji wa PPF, Jonas Mbwambo, akifafanua jambo kwa baadhi ya wananchi  waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Afisa Uendeshaji wa PPF, Pauline Msanga (kulia) akimkabidhi Kitambulisho Kwangu Jessey, mmoja kati ya wateja waliojiunga na Mfuko huo katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko wa PPF, Elihuruma Ngowi (kulia) akiwaelekeza jambo wateja waliokuwa wakijaza fomu ya kujiunga na huduma ya Wote Scheme kwenye Banda la PPF Sabasaba.
KAWAIDA: Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa PPF, Pauline Msanga, akiwahudumia wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha na Mafoto Blog Afisa Michango wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Glory Maboya (kulia) akimhudumia mmoja kati ya wateja waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Maafisa Michango wa Mfuko wa PPF, wakiwahudumia wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Afisa Michango wa Mfuko wa PPF, Tula Mwigune, akitoa elimu kwa wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru (kushoto) akisaini Kitabu cha Wageni wakati alipowasili kutembelea Banda la Mfuko wa PPF, leo. Kulia ni mkewe, Noela Mafuru. Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru (katikati) Mkurugenzi wa Sheria wa Mfuko wa Pensheni PPF, Vupe Ligate (wa tano kutoka kushoto) Mke wa Msajili, Noela Mafuru (wa tano kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Fedha na Mipango, Benny Mwaipaja, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa PPF nje ya Banda lao kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba. Afisa Huduma kwa Wateja wa PPF, Mwajuma Msina, akiwahudumia wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Afisa Uwekezaji wa PPF, Jonas Mbwambo, akifafanua jambo kwa baadhi ya wananchi waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Afisa Uendeshaji wa PPF, Pauline Msanga (kulia) akimkabidhi Kitambulisho Kwangu Jessey, mmoja kati ya wateja waliojiunga na Mfuko huo katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Meneja Masoko wa PPF, Elihuruma Ngowi (kulia) akiwaelekeza jambo wateja waliokuwa wakijaza fomu ya kujiunga na huduma ya Wote Scheme kwenye Banda la PPF Sabasaba. 

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu