Thursday, July 14, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA SEKONDARI ILIYOUNGUA MKOANI LINDI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maabara na madarasa yaliyoungua kwa moto katika shule ya sekondari ya Lindi akiwa katika ziara ya mkoa huo Julai 14, 2016  Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu