Waziri
Mkuu, Kassim Majjaliwa akizungumza na wazee, wafanyabiashara , viongozi
wa dini na wanachi wa Dodoma kuhusu mikakati ya seriali ya kuhamia Dodoma
kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Julai 26, 2016. Waziri mkuu alitumia fursa
hiyo kuwaandaa “kisaikolojia” wananchiwa Dodoma kwa kuwaeleza bayana,
wachangamkie fursa kwa kujenga miundombinu itakayohimili kuipokea serikali na
wageni mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali. Aliitaja miundombinu hiyo ikiwa ni
pamoja na kujenga mahoteli makubwa ya kitalii, nyumba za kutosha za kulala
wageni na huduma mbalimbali. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu, Uledi Mussa, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde na
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Baadhi ya wakazi wa Dodoma, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha y pamoja na wazee wa
Dodoma baada ya kuzungumza na wazee, viongozi wa dini, wafanyabiashara na
wananchi wa Dodoma kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma
0 comments:
Post a Comment