Header Ads


Rais John Pombe Magufuli, akimuapisha Mkuu mpya wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 19, 2016. Bw. Gambo ambaye awali alikuwa mkuu wa wilaya ya Arusha, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mtangulizi wake, Felix, Ntibenda Kijiko, ambaye uteuzi wake ulitenguliwa na Rais. (PICHA NA IKULU)

No comments