Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akiwa pamoja na Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Sala ya
kumuombea Waziri Mkuu mstaafu John Samwel Malecela pamoja na mkewe Anne Kilango
Malecela.(PICHA NA IKULU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri Mkuu mstaafu John Samuel Malecela
ambaye anapata matibabu jijini Dar es Salaam
Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akisalimiana na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili
nyumbani kwa Spika Sala sala jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana kwa furaha na
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya
kuwasili nyumbani kwake Sala sala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai nyumbani kwake Sala sala
jijini Dar es Salaam alipokwenda kumjulia hali.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth
Magufuli kushoto akizungumza jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Job Ndugai nyumbani kwake Sala sala jijini Dar es Salaam walipokwenda
kumjulia hali. Kulia ni mke wa Spika Dkt. Fatma Mganga Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na mke wa Spika Dkt. Fatma Mganga Ndugai huku Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwajulia hali nyumbani kwao Sala sala
jijini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment