Friday, August 19, 2016


Waziri Mkuu, Kassim Maajliwa akizungumza  na  Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia  akiwakilisha nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia,  Bi. Bella  Bird, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

 Waziri Mkuu, akimkaribishi Bi. Bird

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa  (kushoto kwake), Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo Katoliki la Bunda (wapili kulia)  na katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Raymond Saba (kulia), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Renatus Nkwande (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo yao , Ofisini kwake jijini Dar es alam Agosti 18, 2016
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu