2


SI LA KULIKOSA

Friday, September 23, 2016


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimvalisha medali Hassan Aswahi kutoka skuli ya Paje akiwa mshindi wa tatu katika mbio maalum za Vijiti(relay) mita 100x4 wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo leo ,katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Septemba 23, 2016. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kikombe Nd, Abdalla Makame Makame Afisa Elimu na Mfunzo ya Amali Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa washindi kiujumla wakati wa  kilele cha maadhimisho hayo.

 Mbio za magunia kwa watotowa chekechea (maandalizi)
Watoto wa Maandalizi wakiwa katika mashindano ya Riadha ya mbiofupi wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila malipo katika Uwanja wa Amaan
Watoto wakicheza Ngoma aina ya Bomu  
 Rais akihutubia wakati wa sherehe hizo
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe, Riziki Pembe Juma akitoa slamu zake na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Walimu pamoja na Wanafunzi katika maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo, sherehe zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan
Umati wa watu waliohudhuria sherehe hizo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu