Saturday, September 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kaburini na kutoa heshima zake alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi  Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na ujumbe wake wakishiriki dua alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka sahihi kitabu cha maombolezo  alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba  3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa Bw. Mustapha Aboud Jumbe na Rajabu Aboud Jumbe alipokwenda kutoa mkono wa pole kwa familia ya Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekezwa jambo na Rajabu Aboud Jumbe alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016. Nyuma yao ni Mama Janeth Magufuli na wanafamilia wa Mzee Jumbe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimu wanafamilia  alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kutoa mkono wa  pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
(PICHA NA IKULU)
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu