2


SI LA KULIKOSA

Saturday, September 3, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Kibandamaiti kisiwani Unguja, Zanzibar Septemba 3, 2016 wakati akiwa katika ziara ya kuwashukuru wananchi wa visiwani kwa kuichagua CCM kuongoza serikali zoyte mbili. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akisalimia na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha salim Jecha  wakati wa katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi uliofanyika leo  katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja  wa kuwashukuru Wananchi wa Mikoa mitatu(3) 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimia na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha salim Jecha  wakati wa katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi uliofanyika leo  katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja  wa kuwashukuru Wananchi wa Mikoa mitatu(3) (katikati)Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi wa Mikoa mitatu ya Unguja wakati akimkaribisha Dkt.John Magufuli katika mkutano wa kuwashukuru wananchi wa mikoa mitatu ya Unguja katika uwanja wa kibandamaiti leo
Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli   wakati   alipofika katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja kuzungumza na wananchi hao katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati wa alipofika katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu