Header Ads


KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM AKIONGEA NA WAANDISHI

Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam kamishna Simon Siro  akiwaeleza wandishi wa habari leo ofisini kwake akitoa mambo mbalimbali  kuhusu jeshi la polisi jinsi lilivyofanikiwa kukamata  maswala mbalimbali hususani kukamatwa kwa majambazi pamoja na watu  waliokuwa wanatumia madawa ya kulevya  pamoja na mirungi ,Bangi  funguo zinazotumiwa na wezi

No comments