2


SI LA KULIKOSA

Saturday, October 8, 2016Rock City Mwanza hili ni balaa jingine la burudani ni ndani ya Rock City Mall, leo Jumamosi Oktoba 08,2016 ambapo Wananzengo watakuwa wakipata raha ya The Nyama Choma Festival huku jukwaani mkali AY akidondosha burudani. 
Pia madjz wakali akiwemo Dj Dhifa kutoka Lake Fm Mwanza. Kwa Shilingi Elfu Kumi tu, unaburudika kuanzia saa 12 jioni hadi kucheeeeeeeee!
Na BMG
Dj KFlip kutoka 102.5 Lake Fm atakuwepo
Dj HCue kutoka 102.5 Lake Fm atakuwepo
Rock City Mwanza hili ni balaa jingine la burudani ni ndani ya Rock City Mall, leo Jumamosi Oktoba 08,2016 ambapo Wananzengo watakuwa wakipata raha ya The Nyama Choma Festival huku jukwaani mkali AY akidondosha burudani. 
Pia madjz wakati kutoka Lake Fm Mwanza. Kwa Shilingi Elfu Kumi tu, unaburudika kuanzia saa 12 jioni hadi kucheeeeeeeee!
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu