2


SI LA KULIKOSA

Monday, November 7, 2016

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUGUMZA NA WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO

 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Viongozi wa Dini wakati akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji Pemba, kuzungumza na Waumini wa Dini na kuzindua Albam la Kwaya ya R.G.C, ya chakechake.9Picha na Othman Maulid
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiangalia bidhaa zinazotengenezwa na Kikundi cha Wawanawake cha Nia Njema  cha Wete Pemba wakati wa mkutano huo na Viongozi wa Dini Kisiwani Pemba uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji.(Picha na Othman Maulid)

 MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUGUMZA NA WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO PEMBA NA KUZINDUA ALBAM YA KWAYA YA R G C
 MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUGUMZA NA WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO PEMBA NA KUZINDUA ALBAM YA KWAYA YA R G C
 BAADHI ya Waumini wa madhehebu mbalimbali wa Dini ya Kikristo kisiwani Pemba wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar akitowa nasaha zake kwa waumini hao katika ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji Pemba.(Picha na Othman Maulid)
  MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akizungua Albam ya Kwaya ya Kanisa la T.G.C ya Nyimbo za kuitakia Amani Zanzibar uzinduzi huo umefanyika kastika Ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji Pemba kulia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman na Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Zanzibar Emanuel Masoud.(Picha na Othman Maulid)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akionesha Albam ya Kwaya ya R.G.C ya Chakechake baada ya kuinduwa ikiwa na nyimbo za kuitakia Amani Zanzibar uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji Pemba.(Picha na Othman Maulid)

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu