MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO KUNDI LA 54/16
..
Baadhi ya Viongozi wenye Kampuni za Ulinzi
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa pili kulia) akipokea risala
kutoka kwa mmoja wa wahitimu , Asma Rajabu (kushoto) wakwanza kulia ni
Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa
Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa akifatilia jambo kwa umakini
Luteni, Nelson Ponera akiangalia vijana wake wanavyo jituma mbele ya mgeni rasmi
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa katikati) akizungumza jambo
wakati akifunga mafunzo ya Mgambo kundi la 54/16 yaliyofanyika
viwanja vya JKT Mgulani Dar es Salaam, ambapo 482 wamehitimu Mafunzo
hayo, kulia ni Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa na Luteni, Nelson Ponera
Mmoja wa wahitimuwa wa mafunzo hayo akionyesha umahiri wake kwa kucheza karate
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee wakifuatilia kwa makini
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa pole
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva akizungumza jambo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya mgambo
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa
wahitimu wa mafunzo ya Mgambo yalio fanyika Dar es Salaam
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa pili kulia) akikagua gwaride la
Mgambo wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika viwanja vya JKT
Mgulani Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Kasim Kiambwe na Luteni,
Nelson Ponera
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva (kushoto) akisalimiana na Kaimu
Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja Dorah Kawawa wakati wa
kufunga mafunzo ya Mgambo yaliyofanyika viwanja vya JKT Mgulani Dar es
Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
0 comments:
Post a Comment