2


SI LA KULIKOSA

Wednesday, November 9, 2016

MOTO MKUBWA WATEKETEZA GHOROFA LA KUIFADHIA SPEA ZA VYOMBO VYA MOTO

Ghorofa la rosheni tatu lililokuwa likitumika kuifadhia spea za pikipiki ,baiskeri na bajaji likiungua moto ,moto ambao uliosababishwa na shoti ya umeme iliotokea jana kwenye mida ya jioni maeneo ya viwanda chadema.
Mabosi wakiangalia jengo na mali zao zikiteketea kwa moto.
Gari la zima moto likiwa limepaki pembeni baada ya kuishiwa maji  ya kuzimia moto.
Gari la zimamoto likiingia kusaidia kuzima moto.
Gari aina ya Harrier T999 DCK ikiwa imedondokewa na matofali yaliyokuwa yametoka katika hilo ghorofa.
Askari wa zima moto wakijitaidi kuzima moto.
Lingi za baiskeri zikiendelea kuungua moto.
Gari la zimamoto likirusha maji kujaribu kuzima moto mkubwa uliokuwa ukiwa katikati ya jengo hilo. 

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu