2

SI LA KULIKOSA

Thursday, November 10, 2016

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, Dodoma.

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, Dodoma.
 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeanzisha mafunzo ya Tiba Shufaa (Palliative Care Services) kwa watumishi wa Sekta ya Afya ili kuhakikisha huduma hiyo inapatikana kwa wakati kwa wagonjwa wanaohitaji.

Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Hamis Kigwangalla ameyathibitisha haya leo mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mhe. Susan Lyimo aliyehitaji kufahamu juu ya mikakati ya Serikali katika kuhakikisha huduma ya Tiba Shufaa inaboreshwa hapa nchini.

Dkt. Kigwangalla amesema kuwa katika kuhakikisha huduma za tiba shufaa zinapatikana hapa nchini, hospitali takribani 35 zikiwemo za Rufaa za kanda za Bugando, KCMC na Mbeya , Hospitali za mikoa pamoja na Hospitali za dini zinatoa huduma hizo.

Ameongeza kuwa huduma hizo pia zimekuwa zikitolewa majumbani kwa wagonjwa wanaokaa karibu na maeneo yenye hospitali zinazotoa huduma hizo ambapo watoa huduma za majumbani husaidia kumfikia mgonjwa moja kwa moja katika maeneo wanayoishi.

“Sera ya kitaifa ya Tiba Shufaa iliyotolewa Mwezi Juni mwaka huu imeagiza mafunzo yafanyike ili kuwajengea uwezo watumishi waliopo katika vituo vya afya na hospitali nchini ili waweze kutoa huduma hiyo” alisisitiza Mhe. Dkt Kigwangalla.

Aidha Wizara hiyo imeanza kutoa mafunzo hayo kwa kushirikiana na Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Chama cha Tiba Shufaa pamoja na wadau wengine kwa lengo la kuhakikisha kunakuwa na watumishi watano katika kila kituo cha afya ambao wana uwezo wa kutoa tiba hiyo wakijumuisha madaktari, wauguzi, wafamasia pamoja na maafisa ustawi wa jamii.

Tiba Shufaa ni huduma inayotolewa kwa wagonjwa walio katika hatua za mwisho za maisha yao hasa walio na magonjwa yasiyo na uwezekano wa kupona kwa ajili ya kuwapunguzia maumivu makali wanayoyapata kutokana na magonjwa hayo.

MWISHO.

4x4 MTANANGE WA SIMBA NA PRISONS ULIVYOKUWA MBEYA Mtanange wa Simba Dhidi ya Tanzania Prison Ulimalizika kwa Kishindo uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya Ambapo Timu Ya wekundu wa msimbasi Simba Ilipokea kichapo Cha Goli 2-1 Kutoka kwa wajelajela Tanzania Prison kama ambavyo Taswira Hapo juu ikionyesha mchezaji wa Simba Shoto, Jonas Mkude akichuwana Vikali na Salum Kimenya Katika Mtanange Ulio Malizika Katika Uwanja Wa Sokoine Ikiwa Jamal Mnyate Dk.43 Kipindi cha Kwanza Aliipatia Goli Timu Ya Simba, Huku Victor Hangaya kutoka Prison alisawazisha na kuongeza bao la Pili kwa Timu Yake Ya Tanzania Prison Mbeya. Baadhi ya mashabiki kinazi wa Timu ya Wekundu wa Msimbazi wakiwa Katika Eneo lao. Kutoka Shoto Ni Kocha wa Timu ya Simba Joseph Omog akisalimiana na Kocha Wa Timu ya Prison Abdul Mingange kabla ya Mchezo kuanza.. Jonas Mkude shoto akimtoka mchezaji wa Prison Victor Hangaya. PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.

Today Deal $50 Off : https://goo.gl/efW8Ef

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu