Header Ads


PRESS CONFERENCE IPS- MAELEZOPRESS CONFERENCE
IPS- MAELEZO
MUDA: 4:00 ASUBUHI
TAREHE: 14.11.2016
MAHALI: UKUMBI WA MAELEZO

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU NCHINI (HESLB) SIKU YA JUMATATU TAREHE 14.11.2016 ITAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUELEZEA TATHMINI YA UTOAJI MIKOPO.
WAANDISHI WA HABARI NA WAPIGA PICHA WOTE MNAKARIBISHWA.

No comments