Tuesday, November 22, 2016


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake na  Watendaji Wakuu wa  Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori  ya Hifadhi za Mistitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016.  (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Baadhi ya Watendaji Wakuu  wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Misitu  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao Ofisini kwake mjini Dodoma, Novemba 21, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake na  Watendaji Wakuu wa  Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori  ya Hifadhi za Mistitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016.  Kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (katikati) baada ya kuongoza kikao kati yake na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Misitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  Novemba 21, 2016 asubuhi aliamua kutembea kwa mguu  kutoka makazi  yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini kwake   barabara ya Reli mjini Dodoma .  Pichani, Mheshimwa Majaliwa akiwa na wasaidizi wake akilekea Ofisini kwake. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu