2


SI LA KULIKOSA

Sunday, November 20, 2016

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO AZINDUA MAGARI MAPYA YA F12 PLUS KUTOKA KAMPOUNI YA YUTONG


 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikta utepe kuashiria uzinduzi wa  magari mapya ya F12 kutoka kampuni yas Yutong katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa uzinduzi wa magari mapya ya F12 kutoka kampuni yas Yutong katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.

Picha na kitengo cha Mawasiliano Serikali WHUSM
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu