Sunday, January 1, 2017

Wadau naomba msaada wenu kusambaza hii link Happy New Year Siku ya Alhamis tarehe 29/12 Bw. Wasia Maya kutoka mjini Houston , Texas aliamua kuachana na kambi ya makapera na kufunga ndoa na Bi. Laila Martin. Harusi hiyo ilifanyika nyumbani kwa Bw. Wasia na kuhudhuriwa na Watanzania wengi waishio katika jiji la Houston na miji ya jirani. Ijumaa ya tarehe 30/12 kulifanyika Nikka Dinner katika ukumbi wa Pakwan uliopo kwenye makutano ya barabara za HW6 na Beechnut . Pata picha za Harusi na Nikka Dinner hapa chini

Bw. Wasia na Bi. Laila siku ya ndoa yao
Maharusi wakiwa na sura za furaha 

Bw. Wasia na mkewe Bi. Laila
Bibi Harusi Bi. Laila

Bw. Wasia
Bi. Laila
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu