Wednesday, December 28, 2016

Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao marehemu Mpoki Bukuku, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya familia huko Msalato, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma Desemba 27, 2016.
 Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, (wapili kushoto), na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, na Mbunge wa Dodoam mjini, Anthony Mavunde, wakwia tayari wameweka shada la mauwa kwenye kaburi la marehemu Mpoki Bukuku kwenyemakaburi ya familia huko Msalato, nje kidogo ua Manispaa ya Dodoma Desemba 27, 2016.
 Wazzi wa marehemu wakiweka shada la maua kwenye kaburila mwanao
Mke wa marehemu akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe
 Waombolezaji wakilishusha kaburini, jeneza lenye mwili wa marehemu Mpoki Bukuku "Sumo", aliyekuwa mpiga picha mwandamizi wa kampuni ya The Guardian Limited, kwenye makaburi ya familia huko Msalato nje kidogoya Manispaa ya mji wa Dodoma leo Desemba 27, 2016.



Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu