Header Ads


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Inbox

SIKU YA JUMANNE YA TAREHE 13 DESEMBA, 2016 KATIBU MKUU KIONGOZI ATAKUWA NA LUNCH MEETING NA WAFADHILI 20 (DONOR COUNTRIES) ILI KUWAELEZA FURSA ZA KUWEKEZA KATIKA TAASISI YA UONGOZI INSTITUTE.

HIVYO, MNAOMBWA KUPENDEKEZA MAJINA YA WAANDISHI WA HABARI WAANDAMIZI WATAKAOHUDHURIA KIKAO HICHO YAKIWA YAMECHAPWA KATIKA "HEADED PAPER" NA KULETWA HAPA IDARA YA HABARI (MAELEZO) AU KUTUMWA KATIKA BARUAPEPE YETU YA maelezo@habari.go.tz
MAJINA YALETWE/YATUMWE KABLA YA SAA 3:00 ASUBUHI
MUDA WA KIKAO NI SAA 6:00 MCHANA
MAHALI: IKULU

No comments