Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flava, Ally Kiba aambaye aliyenyakua tuzo tatu, akitoa shukrani zake.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nandi Mwiyombella(kulia) akimkabidhi mwanamuziki Ali Kiba Tuzo ya Video
bora ya mwaka 2016 katika hafla ya tuzo za EATV Afrika zilizofanyika jana usiku
Mlimani City jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akitoa tuzo ya heshima kwa Bw. Bonny Kilosa(Dj Bonny Love) kwa
machango wake katika tasnia ya muziki nchini katika hafla ya utoaji tuzo kwa
wanamuziki na wasanii wa Filamu(EATV Awards 2016) zilizofanyika Desemba 10,
2016 Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye ambaye alikuwa
mgeni rasmi katika tuzo za EATV akibadilishana mawazo na Afisa a Idara ya
Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Ashutosh Tiwary(kulia)na Mkuu wa
Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo,Nandi Mwiyombella wakati wa
hafla ya utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika jana usiku katika ukumbi wa Mlimani
City jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa Vodacom Tanzania.Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nandi
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye hafla ya
tuzo za EATVAfrika zilizofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi, Waziri Nape, na Mkurugenzi
wa EATV/RADIO, Regina Mengi (watatu kulia), na maafisa wa serikali
wakifuatilia tuzo hizo
Mwakilishi wa Bodi ya Filamu Tanzania Bw. Romanus
Tairo akitoa tuzo kwa mshindi wa Filamu Bora ya Mwaka ya Safari ya Gwalu Bw.
Gabo Zigamba.
0 comments:
Post a Comment